Yule yule Brandy unaemfahamu kwa miaka yote ndio amerudi this time na kuamua kumpa Chris Brown mwaliko wa sauti na sura kwenye single yake mpya inaitwa ‘put It Down’, hiyo hapo chini ni jinsi video ilivyokua inatengenezwa, chini yake ndio video kamili.
Subscribe to:
Posts (Atom)