Saturday

Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012 laendelea mjini moshi

On Streets Today

 Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Joh Makini akiwaburudisha mashabiki wake kwa nyimbo zake mbali mbali wakati wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,lililofanyika kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,Moshi mkoani Kilimanjaro

 Mratibu wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,Victor Ndunguru (kushoto) akikabidhi zawadi ya Box la Grand Malt kwa washindi wa Mchezo wa Kuvuta Kamba wakati wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,lililofanyika kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,Moshi mkoani Kilimanjaro
 Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Ushirika,Mjini Moshi wakishiriki kwenye mchezo wa kuvuta kamba.

Search This Blog