Saturday

Nyeti za mwanaume zanasa ndani ya uke wa mke wa mtu Nairobi

Image of Nyeti za mwanaume zimenasa ndani ya uke wa mke wa mtu Nairobi [Video]

Wakati wa mchana katika kijiji cha TASSIA, EMBAKASI NAIROBI jamaa mmoja amekutwa akiwa AMEKWAMA yani mwili wake na umenasa na kukataa kuachiana na mwili wa MKE WA MTU walipokuwa wanajiburudisha.


JAMAA mwenyewe anadaiwa kuwa wa jamii ya WAKISII na mke wa mtu ana asili ya jamii ya WAKAMBA, ambapo inasemekana baada ya stori kuendelea sana kwamba jamaa anaiba mke wa mtu, MUME ilibidi aende kwa MGANGA kumfunga MKE WAKE ili asifanye mapenzi nje ya NDOA na akifanya hivyo ATAKWAMA, yani kukwamba wana maanisha jamaa yeyote atakae ingia kwenye mtego mwili wake hautoachana na mwili wa mwanamke huyo, itashikana na aibu iwakute

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.

Search This Blog