On Streets Today
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Joh Makini akiwaburudisha mashabiki wake kwa nyimbo zake mbali mbali wakati wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,lililofanyika kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,Moshi mkoani Kilimanjaro
Mratibu wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,Victor Ndunguru (kushoto) akikabidhi zawadi ya Box la Grand Malt kwa washindi wa Mchezo wa Kuvuta Kamba wakati wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,lililofanyika kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,Moshi mkoani Kilimanjaro
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Ushirika,Mjini Moshi wakishiriki kwenye mchezo wa kuvuta kamba.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.