Thursday
ANGALIA JINSI WASANII WA BONGO MOVIE WANAVYOJISHUSHA THAMANI
Baada ya Ant Ezekiel
kuto kuonyesha heshima katika jukwaa la serengeti fiesta sasa habari
nyingine ambayo imetokea mkoani Morogoro siku ya serengeti fiesta
katika viwanja vya jamhuri.Msanii anayejulikama kwa jina la Wema sepetu alionekana
amefaa nguo fupi ambayo sio ya heshima na hiki si kitu kizuri kwa
mashabiki au hata mtanzania.Kwani hapo ndipo unajishusha thamani pia
hata mashabiki wako hawata nunua kazi zako.Jamani tujiheshimu ili mwisho
wa siku jina lako lipate kufika mbali lakni kama ni hivi sijui kama
tutafikia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search This Blog

No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.