Saturday

HUU NDO MUONEKANO WA FLAVIAN MATATA AKIWA KATIKA STUDIO ZA BBC AFRICAN AKIFUNGUKA KUHUSIANA NA LONDON FASHION WEEK


 Flaviana matata akifanyiwa interview na Kassim Kayira katika BBC africa kuhusiana na maisha yake pamoja na kazi zake za fashion.
            Muonekano mpya wa Flavian matata katika studio za BBC africa ambayo ipo london.
   Flavian matata akiwa na jestina george ambaye anamiliki www.jestina-george.com ambayo inahusu mambo ya london pamoja na BBC focus on african  programme.             
Muonekano wa Flavian matata akiwa na radio presenter wa BBC Africa iliyopo london anayefahamika kwa jina la Kassim Kayira  baada ya kumaliza interview yao ambayo ilikuwa inahusiana na mambo ya london fashion week.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.

Search This Blog