Saturday

Diamond Platnumz Music Video Audition ROUND 2 at NYUMBANI LOUNGE


Mama yake Diamond na sister wa Diamond ndio wamewasili now hapa Nyumbani Lounge kwenye usahili wa video wa kupata watakaoonekana kwenye video mpya ya Diamond ambayo itashutiwa na kampuni ya I-View Media
Majaji wakifuatilia kwa umakini zoezi zima hili la kutafuta vijana watanashati ambao watakuwa kwenye video hiyo mpya ya Diamond 



No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.

Search This Blog