Friday

HII NDIO VIDEO MPYA YA RICK ROSS ALIYOIFANYA AFRIKA.

Pamoja na kwamba wengine wametoa maoni na kusema hawajaipenda hii video ya Rick Ross aliyoifanya Lagos Nigeria kwa kuwa inaonyesha maisha mabovu tu ya waafrika, wengine wamempongeza kwa kuamua kuipa Afrika nafasi kwenye video yake.

Baadhi ya maoni ambayo nimeyaona kwenye mtandao, wengine wameichukulia hii video kwenye line ile ile ambayo walimchukulia Amber Rose na kuishia kumkasirikia baada ya kuja Afrika na kupiga picha za mazingira ya kimaskini tu, point yao ni kwamba Afrika kuna sehemu nzuri pia… sio umasikini peke yake. (japo wimbo unaruhusu kabisa script ya aina hiyo) Wengine wamelaumu pia kitendo cha Rick Ross kuonekana akiwapa watoto hela ndani ya video, bonyeza play hapo chini uitazame..

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.

Search This Blog