Hili ni jibu la kiu ya wengi waliokua wanajiuliza kila siku mkali wa bongo Rah P yukwapi, hata mimi nilitamani kumuona kwenye kazi mpya pia… hiyo hapo chini ni video mpya ya single aliyoshirikishwa na Alpha wa Rwanda ambae ni mshindi mara mbili wa Tusker Project Fame pia... ichek alafu usiondoke bila kuacha comment mtu wangu wa nguvu.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.