Wednesday

HIZI PICHA NI MAALUM KWA MNAOPENDA KUMFATILIA RIHANNA KAVAA NINI.



Hii ni juzi wakati mwimbaji Rihanna alipokua anaondoka kwenye hoteli aliyofikia Manhattan New York na kuelekea kwenye nyumbani kwa bibi yake huko Brooklyn na baadae aliporudi hotelini ndio akakutana na mashabiki pamoja na paparazzi wakimsubiri.


Necole ameandika kwenye blog yake kwamba hizi buti za Anaconda alizovaa Rihanna zina thamani ya zaidi ya milioni 3 za kibongo.



No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.

Search This Blog