Wednesday

Q-CHIEF AVUNJA UKIMYA


Msanii wa kizai kipya, "Q-Chief" ametoa kibao kipya kinachokwenda kwa jina la "UMGENIUMIZA" ambapo unatarajiwa kubamba kila kona kitaani kutokana na maandalizi ya kutosha yaliyokuwepo hadi kuachiwa kwa ngoma hiyo babkubwa. Unaweza ukajiuliza sana kwanini Q-Chief alikuwa kimya kwa muda mrefu kidogo kabla ya kuanza kuachia “mabomu” takribani tangu mwaka jana hivi.In short ni kwamba Chilla anaweza.....Ana kipaji na pengine kama alivyowahi kusema katika mahojiano na media miaka ya nyuma kidogo, kuwa yeye ni tajiri wa sauti. Isiwe kesi.....kudownload songi hilo fuata linki hii hapaa  (BongoCelebrity)

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.

Search This Blog