Tuesday

SINTAH AOMBA MUMPE SIFA YAKE YA USOMI

 daah kweli msomi, mpaka nasinzia kwa point kichwani
shurti kwa mifano chezeya International Relations and Diplomacy


heeeee nikitoa lecture,miniwache mie



Lolest huyu huyu J wake Lo,jeshi la mtu mmoja daah kweli Mungu akikuandikia amekuandikia hata kama binaadam wazibe vipi wanachemka,fitina yako bahati yangu. Mungu alishapanga
kuwa nitakuwaje so utachelewesha tuu lakini lazime litimie, nikiwa kama mgeni rasmi na wengineo nilipewa muda wa kuongea heeee kama wangekuwa wakina mwanafulenge wangejikojolea maana baada ya speech ni maswali tuu,mtu ana nyoosha kidole na nina jibu hapo kwa hapo, sikwenda hata na karatasi point zilitoka kichwani according na maswali, halafu sio maswali ya huku ktk web,maswali kuhusu umoja wa mataifa na mengine ya economy haya wee asha ngedere ungejibu jamani??nipeni sifa yangu tafadhali.
watu waliokuwepo pale waulizeni kila siku nawaambia KNOWLEDGE IS POWER.
muniwachagee basi its my time ku shine ki diplomat ,,,, sio kwamba ninajisifu ninasema kweli
for more pics nitaandika blog ya kuangalia uzinduz wa kitabu cha siri ya mafanikio.
story na sintah.com

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.

Search This Blog