Tuesday

STORI YA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI NA DILI ALILOPATA NEW YORK.


                                      Ludovick Utoh.

Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali Ludovick Utouh amesema nafasi aliyoipata ya kuwa mjumbe wa bodi ya ukaguzi ya umoja wa mataifa haitoathiri utekelezaji wa majukumu yake ya ukaguzi ndani ya nchi.
Amesema ataendelea na majukumu yake kama kawaida na atakua akienda New York mara mbili kwa mwaka kwa muda wa miaka sita atakayokua kwenye hiyo nafasi ambapo pia watendaji 60 wa ofisi yake wameteuliwa kutekeleza majukumu ya ukaguzi kwa umoja huo wa mataifa.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.

Search This Blog