Saturday

MUONEKANO WA BOW WOW NDANI YA 106 & PARK

 
 Zimepita siku kadhaa toka mtu mzima Bow wow ateuliwe kuwa mtangazaji wa show ya 106& Park.Sasa huu ndiyo muonekano wake wa kwanza katika show hiyo ya 106 & Park akiwa anamfanyia interview mtu mzima Kendrick Lamar kuhusiana na ujio wake mpya wa album inayofahamika kwa jina la GOOD KID,M.A.A.D CITY.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.

Search This Blog