Saturday

NE-YO SOON KUACHIA ALBUM YAKE KITAANI "R.E.D. ALBUM"

Ni moja kati ya wasanii kiukweli wanaofanya vizuri katika game la muziki pia ni wenye hisia kali za kimuziki kwani utakuta pale anapoimba lazima aonyeshe hisia zake katika  kazi yake ya muziki.Sasa habari nzuri tuliyoipata kuhusu Msanii huyu bhana ni kwamba tarehe 6 mwezi wa novemba  anatarajia rasmi kuachia  album yake mpya kitaani ambayo itakwenda kwa jina la "R.E.D Album" pia  alifunguka na kusema kwamba album hiyo mpya ambayo anatarajia kuachia soon alisema imehusisha vinjwa mbalimbali kama Wiz Khalifa,Fabolous,Diddy,Calvin Harris, na Tim McGraw.

Check out the cover art and tracklist below.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.

Search This Blog