Saturday

MISS IFM 2012 KUTAKUWA NA JIPYA USIKU WA LEO??



Wakati harakati za kumsaka mrembo atakayekabidhiwa taji la Miss IFM 2012 zikiwa zinaelekea ukingoni, mashabiki na wapenzi wa industry hii ya urembo wameonekana kujawa na shauku ya kutaka kufahamu ni kipi hasa kitakuwa kipya ama cha kipekee katika mashindano haya 
 Mtanange wa kumtafuta mrembo atakeiwakilisha IFM katika mashindano ya mrembo wa vyuo vikuu unaendelea na tayari mabinti wameiva kama mnavyowaona.
 ...hapa ni maelezo kutoka kwa mwalimu kuja kwa washiriki na mpiga picha pia...
 Hapo VP?
Warembo watakaoshiriki shindano la Redds Miss IFM 2012 wakiwa kwenye pozi la picha ya pamoja kwenye mazoezi yananyika kwenye ukumbi wa Break Point Posta mpya jijini Dar Es Salaam kwenye maandalizi ya fainali itakayofanyika kwenye fukwe ya Cine Club jijini Dar Es Salaam usiku wa jumamosi ya 12/05/2012

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.

Search This Blog