Saturday

SAFARI YA BONGO FLEVA HIYOOO KUNAKO MITAANI

  • Awa mfano wa kuigwa kwa kusaidia yatima

    • Ni wasanii wangapi wanagonga kopi za kutosha na shoo kibao lakini husahau walikotoka? Bongo Artists take this aaand ACT. 

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond, baada ya kuwa na mafanikio katika muziki wake ameanzisha mpango wa kusaidia jamii yake kama sehemu ya shukrani kutokana na mafanikio hayo, ukizingatia jamii kwa kiasi kikubwa ndiyo inayomsapoti.
hapa yeye mwenyewe (kulia) akitoa msaada wa vyakula na vitu vingine kwenye kituo cha kulea watoto yatima cha Maunga kilichopo Kinondoni Hananasif jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.

Search This Blog